Social Icons

Pages

Thursday, January 5, 2012

Pants for men

Material: Batik
Colour: Brown
Size: Adjustable
Price: Tshs. 20,000/=


Ina kamba za kukuwezesha pensi yako ikukae vizuri, unachotakiwa kufanya ni kuvuta tu kamba mpaka unaopoona imekaa vema kiunoni..


baadhi zina vizibao na vibajaji...inategemea nawe unapendaje..kila kimoja kina bei yake..

No comments:

Post a Comment

Thanks for your comment!