Social Icons

Pages

Saturday, May 8, 2010

TANGAZO


ASANTE KWA KUTEMBELEA BLOGU YETU INAYOJISHUGHULISHA NA KAZI ZA MIKONO PAMOJA NA SANAA KWA UJUMLA.

TUNATEGEMEA KUANZA KUTOA HUDUMA HIZI.. KUANZIA WIKI YA KWANZA YA MWEZI 1 JANUARI 2012.

TUTAKUWA TUNAANIKA PICHA YA KILA KILICHOPO "INSTOCK" NA KAMA KIPO AMBACHO UTAVUTIWA NACHO KATIKA VITAKAVYOANIKWA.. BASI UWE HURU KU'ORDER' NA TUTAKUBALIANA NI KATIKA MUDA GANI UTAKUWA UMEPATA BIDHAA ULIYOIHITAJI.

KWA WALE WALIOPO MKOA WA DAR ES SALAAM TUTAANDAA NAMNA YA KUWAFIKISHIA BIDHAA KULE WALIPO NA WALE WATAKAOWEZA KUFIKA OFISINI KWETU NAO TUTAWAELEKEZA NAMNA YA KUFIKA. NA WALIOPO MBALI NA DAR ES SALAAM BASI TUTAFANYA UTARATIBU WA KUWATUMIA BIDHAA ZAO HUKO WALIPO KUTOKANA NA MAKUBALIANO YA NAMNA/NJIA YA KUWAFIKISHIA IKIWA PAMOJA NA SISI KUPOKEA MALIPO YETU.


TUNASHUKURU KWA USHIRIKIANO WENU WOTE.

"BE BLESSED ALL VISITORS OF THIS BLOG"


No comments:

Post a Comment

Thanks for your comment!